Tikisa Ushinde na MyVodacomApp

Tikisa na MyVodacom App ujishindie zawadi kibao zikiwemo simu janja, vifurushi kibao au pesa taslimu hadi milioni 5 kutoka Vodacom. Pakua MyVodacom App kutoka playstore au Appstore, ingia kwenye Ofa, chagua Tikisa ushinde, jisajili na uanze kutikisa. #TikisaUshindeNaMyVodacomApp

JInsi Ya Kucheza

1. Pakua toleo jipya la my Vodacom App kisha ifungue

2. Chagua Ofa kutoka upande wa kushoto chini wa screen yako, Kisha chagua “Tikisa Ushinde”

3. Bonyeza anza sasa ili ufurahie kuponi ya bure ya “Tikisa Ushinde”

4. Tikisa simu yako sasa upate nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali. Kila unapotikisa baada ya kuponi za bure kuisha utatozwa Tsh200/-

FURSA KWA MWANACHUO

Katika kufanikisha promotion hii tunaalika wanavyuo toka vyuo tajwa kujisajili kuungana na mabalozi wa Vodacom kirahisi kabisa kwa kutuma neno BALOZI kwenda 0764015421 ili kupata maelekezo zaidi

Mabalozi wa Vodacom toka vyuo mbalimbali Dar es Salaam

RATIBA CHUO KWA CHUO

Timu ya mauzo ya Vodacom itakuwa chuoni kwako kadiri ya tarehe hapa chini. Hakikisha siku hiyo haikupiti kwani kutakuwa na ofa babu kubwa ya simu, kuunganishwa na vifurushi vya chuo na kubwa Zaidi tutatikisa pamoja rahisi tu kama ivo. Tembelea Banda la Vodacom Chuoni kwako siku ya tarehe husika

SNCHUOTAREHEVENUE
1UDSM26/05/2021CAFTERIA 1&2
2MNMA 28/05/2021MNMA GROUND
3TIA02/06/2021NEAR ADMIN BLOCK
4IFM07/06/2021
5DUCE09/06/2021
6NIT16/06/2021
7TUDARCO/ISW 23/06/2021

Kwa mawasiliano zaidi tupigie  0745015421

1 Comment

  1. 7 June 2021
    Tammy
    Reply

    Nawezaje kuwa ambassador was vodacom

Leave A Comment

Related Posts

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU

“Badili Changamoto  kuwa Fursa” Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es  Salaam anawatangazia   wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu  cha Dar es Salaam kimeandaa   mafunzo  ya ujasiriamali yatakayotolewa  katika mikoa kumi  na moja ya Tanzania  (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi  Oktoba na Novemba mwaka 2021.  Mafunzo haya yanatolewa  kama sehemu  ya huduma  kwa […]

NAFASI ZA KAZI DYNAMIC HIGH SCHOOL

Dynamic High School yenye Matawi Dar es Salaam na Mbeya imetangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo 1. HEADMASTER Awe na digrii ya ualimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali, uzoefu usiopungua miaka mitatu kwenye uongozi wa shule za sekondari na awe na umri usiozidi miaka 45. 2.SECRETARY WA SHULE Awe na certificate au diploma ya usecretary kutoka […]

Usajili Biashara Brela (Jina/Kampuni)

A. JINA LA BIASHARA  (BUSINESS NAME) Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name). Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa. Mfano ni majina ambayo wengi wanaandika kwenye maduka yao. Yale ni majina ambayo wameamua duka na biashara zao zitambulike Hivyo. Business name ni jina tu la […]