M-KOBA, Vodacom

M-KOBA ni nini? M-KOBA ni huduma ya kifedha inayoendeshwa na Vodacom kwa ushirikiano na TPB Bank inayolenga kuwezesha wateja wa M-Pesa kufungua na kuendesha Akaunti za kuweka akiba kwa makundi huku wakifurahia huduma za kifedha. Bidhaa hii itazingatia kutoa mazingira mazuri kwa vikundi vya kuchanga fedha kama VICOBA, VSLA na vile vya kifamila na marafiki kufanya kazi […]