WASHIRIKI WA MAFUNZO UDIEC – MBEYA

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAWAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU “Badili Changamoto kuwa Fursa” Hongera kwa kuthibitisha kushiriki mafunzo ya ujasiliamali yatakayofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mafunzo yatafunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa. Tarehe 16/09/2019 Saambili kamili Asubuhi kwenye Ukumbi wa BENJAMINI MKAPA ulio MTAA WA SOKOMATOLA. Washiriki wa madarasa yote mnaalikwa kushiriki ili […]

WASHIRIKI WA MAFUNZO UDIEC – DODOMA

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAWAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU “Badili Changamoto kuwa Fursa” Hongera kwa kuthibitisha kushiriki mafunzo ya ujasiliamali yatakayofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mafunzo yatafunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa Tarehe 17/09/2019 Saambili kamili Asubuhi kwenye Kumbi ndani ya Chuo cha CBE DODOMA. Katika Ufunguzi huu Mkuu wa Mkoa atakutana na[…..]

WASHIRIKI WA MAFUNZO UDIEC – MWANZA

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAWAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU “Badili Changamoto kuwa Fursa” Hongera kwa kuthibitisha kushiriki mafunzo ya ujasiliamali yatakayofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mafunzo yatafunguliwa rasmi na uongozi wa Mkoa wa Mwanza Tarehe 02/09/2019 Saambili kamili Asubuhi kwenye Eneo litakalotangazwa Mda mchache ujao. MAJINA YA WASHIRIKI WA MAFUNZO MWANZA Darasa namba[…..]