MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU

“Badili Changamoto  kuwa Fursa” Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es  Salaam anawatangazia   wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu  cha Dar es Salaam kimeandaa   mafunzo  ya ujasiriamali yatakayotolewa  katika mikoa kumi  na moja ya Tanzania  (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi  Oktoba na Novemba mwaka 2021.  Mafunzo haya yanatolewa  kama sehemu  ya huduma  kwa […]

NAFASI ZA KAZI DYNAMIC HIGH SCHOOL

Dynamic High School yenye Matawi Dar es Salaam na Mbeya imetangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo 1. HEADMASTER Awe na digrii ya ualimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali, uzoefu usiopungua miaka mitatu kwenye uongozi wa shule za sekondari na awe na umri usiozidi miaka 45. 2.SECRETARY WA SHULE Awe na certificate au diploma ya usecretary kutoka[…..]

Usajili Biashara Brela (Jina/Kampuni)

A. JINA LA BIASHARA  (BUSINESS NAME) Kuna utofauti kati ya kampuni na jina la biashara (business name). Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa. Mfano ni majina ambayo wengi wanaandika kwenye maduka yao. Yale ni majina ambayo wameamua duka na biashara zao zitambulike Hivyo. Business name ni jina tu la[…..]