Mabalozi, MyvodacomApp & Mpesa App

0
(0)

Vodacom Tanzania wakishirikiana na Unipromo Tanzania wanakuja na kampeni ya Mpesa App na Myvodacom app ili kuwafikishia wateja urahisi wa kufanya miamala na kununua vifurushi. Kampeni imeanza kwa wanavyuo vikuu na vyuo vya kati kote nchini ili kuhamasisha jamii kurahisisha maisha kupitia  Aplikesheni salama ya Vodacom na Mpesa

Historia Fupi ya Uni Balozi

Vodacom Tanzania kwa mara ya kwanza walizindua Uni Balozi  tar 26 Novemba 2016 ikianzia chuo kikuu cha Dar es Salaam na baadaye kufikia vyuo vingi Tanzania.  Program ililenga kuleta huduma za Vodacom karibu kwa wanachuo. Mwaka 2017 Unipromo Tanzania ilizaliwa kama zao la Program ya Uni Balozi na kuendeleza Program hii hadi kufikia vyuo Vikuu 30 na Vyuo vya kati 50 mpaka sasa. Mabalozi katika vyuo hivyo wamekuwa na majukumu mbalimbali ikiwemo kuweka huduma za Vodacom karibu na kurahisisha maisha ya vyuoni katika Nyanja ya mawasiliano.

Balozi wa MyvodacomAPP  &  M-Pesa APP

Kampeni hii inaenda na fursa kwa Wanafunzi wa chuo wakiwa kama mabalozi wa Vodacom, programu ya Balozi ilianza tar 19 May ilizinduliwa kwa mafunzo ya namna ya kufikisa myvodacom App kupitia kampeni ya TIKISA USHINDE. Mabalozi walifundishwa Jinsi My Vodacom App inavofanya kazi na namna gani watanufaika na kampeni hii.

Majukumu ya Balozi

 • Kumfundisha mteja kutumia Mpesa App na Myvodacom App
 • Kumsaidia mteja anapokwama kudownload kwa kupitia link maalumu ambayo kila balozi anatumiwa
 • Kutoa ripoti ya mapokeo ya App yetu kwa wateja
 • Kujipatia kipato kadiri anavyofanya majukumu yake.

Utaratibu wa kujisajili kuwa Balozi

Ili kuwa balozi tuma neno MPESA APP  kwenda 0745015421  huko utatumia link ya usajili na utakapomaliza kujisajili itakupeleka moja kwa moja kwenye group la whatsapp kwaajili ya mafunzo na kuanza kazi. Au ataingia hapa moja kwa moja https://bit.ly/balozim-pesa-app

Mabalozi wetu waliojisajili mpaka sasa

 # Name University
1 Oka Mlawa OUT
2 Mashima Elias Others
3 Mustapha Hussein HOMBOLO
4 Patson Nguguvale IFM
5 Polycarp Cosmas SUA
6 Maria Mtema CBE
7 Nyemele Mussa SUA
8 Chogoro Chogoro UDOM
9 Rebecca Longinus SUA
10 Don Henry Mushi Others
11 Neema Mshana UDSM
12 Emmanuel Assey SUA
13 Revatus45 SAUT
14 Issa Siasa BUGANDO
15 Enock Felician SUA
16 Petro Constantin SUA
17 Joshua Samwel SUA
18 Samson Isiaga SUA
19 JOSH FALES UDSM
20 Baraka Akyoo SAUT
21 Tatu Abrahamani SAUT
22 Emmanuel Maneno UDOM
23 Paulo Rugamika MUHAS
24 Dickson Horochiga SAUT
25 Amina Juma Others
26 Fortunatus Ferdinand SUA
27 Donald Mulungu SUA
28 Allen Emmanuel CBE
29 Godfrey Mkodo Others
30 Aron Mlelwa UDSM
31 Dorice Lemunge UDOM
32 Yese Onesmo Lemunge SHCOHAS
33 Naomi Njavike NIT
34 Emineema Peter Ndamugoba UDSM
35 Marystella Martin UDSM
36 Zabron Amon UDSM
37 Onesmo Kibiki SUA
38 Datius Deogratius UDOM
39 Gidion Abraham NIT
40 Yahya Ardhi University
41 Paschal Mabeyo Others
42 Rogasian Kijuu NIT
43 Enock John Mambya UDSM
44 Hassan UDOM
45 Baraka Kayombo UDSM
46 Abubakary Abby MZUMBE
47 PASCAL KATUMBO UDSM
48 Simon F.Machibya UDSM
49 KULWA, RICHARD N. Ardhi University
50 SHADRACK S THOM TUDARCo
51 EMMANUEL N CHARLES NIT
52 Maria massawe UDSM
53 Asia Makoleo UDSM
54 HERY JOSEPH MNYOMBE IFM
55 Mwashibanda Reward y MNMA
56 Hamis Abdallah UDSM
57 THOMAS CHACHA UDSM
58 SAIDI KITAMBALA SAIDI IFM
59 Aida panja TIA
60 Joshua Sanga IFM
61 Williad Wilson kalwani IFM
62 Wines Esten Olotu UDSM
63 EZEKIEL JOHN MOLLEL IFM
64 HURUMA KABIKA PASCHAL TIA
65 Unipromo Tanzania UDSM
66 SAMWEL ANDERSON MBEYELA IFM
67 Sarah peter mwaihola IFM
68 GWALUGANO MWAKWESE IFM
69 JOSHUA ANDREA UDOM
70 Paschal paschal IFM
71 Bukanu simba NIT
72 Geofrey Erasto Mhule NIT
73 Chriss A Mwaluswa IFM
74 Blessing Rweikiza UDSM
75 Hassan Bakari Kimweri Others
76 Peter Flowin Komba UDSM
77 Eva Mihale TIA
78 Rose chikwanda Others
79 Francis ladislaus Others
80 Godbless Mrema Others
81 Amani Sanga IAA
82 Fedrick Kigodi NIT
83 Kabehe kabunguru yassin UDSM
84 TRACY Martin mwakilema IFM
85 Lenard Ezra masota UDSM
86 Johari jamhuri shadi UDSM
87 VICTOR FORD MWAKABUNGU UDSM
88 PAUL MACHIYA NIT
89 David Titus SUA
90 BENJAMINI TEMU UDSM

Usajili wa uni portal

Hapa balozi atajisajili ili kupata link na portal ya kufwatilia kazi zake, balozi ataigia hapa https://www.vodacom.co.tz/uni-ambassador

Link ya Balozi

Link ya balozi inayotumwa baada ya kusajiliwa ni link maalumu yenye uwezo wa kuifikia playstore au app store kwenye app ya Myvodacom App  na mteja ataingia kudownload app na kuanza kutumia. NB Mteja akisha download balozi hana uwezo wa kuingia kwenye account ya mteja hivyo link ni salama na haifanyi udukuzi wa taarifa za mteja. Mfano wa link  https://myvodacomapp.page.link/255764015421

Usalama wa Link

Link hii ni salama, hakuna taarifa ya mteja inayochukuliwa kupitia link,  kazi ya link ni kumpeleka mteja App store au Play store ikimfikisha pale mteja akianza kufanya download kazi ya link inaishia pale,  Link hii inanamba ya simu ya balozi mwishoni ili kuitofautisha link ya balozi mmoja na mwingine lkn link ya balozi yoyote inafanya kazi sawa


Mabalozi wa Vodacom toka vyuo mbalimbali Dar es Salaam

Aplikesheni ya Vodacom

Aplikesheni ya Vodacom ni kiunganishi pekee kinachokupa uhuru wa kusimamia matumizi ya data, dakika na ujumbe mfupi wa maneno (SMS)24/7. Aplikesheni hii imeundwa ili kukusaidia kuperuzi taarifa muhimu kwa urahisi na haraka zaidi na kukufanya ufurahie huduma zetu.Taarifa zote muhimu unazipata kwa mguso wa kidole chako, ukiwa na uwezo wa kupata taaria za kina juu ya akunti yako, kununua muda wa maongezi, data na kusimamia huduma zetu kwa kutumia simu yako ya mkononi.

Mwonekano wa My VodacomApp

Namna ya kupakua Aplikesheni ya Vodacom

Pakua toleo jipya la Aplikeshei ya Vodacom kutoka katika ghala la aplikesheni (app store/ playstore) na ufaidi. Mabalozi wetu watakusaidia pia kukufikisha app store/ playstore kirahisi kabisa. Tazama na usimamie salio la muda wa maongezi , data, na SMS. Zaidi ya yote unaweza kununua vifurushi,fursa ya kutazama taarifa zako na kudai tuzo zako.

Aplikesheni ya Vodacom ni moja ya njia tunayotumia kukupa uwezo. Fanya maisha yako kuwa rahisi kwa kupakua Aplikesheni ya Vodacom. Tazama salio na matumizi ya data.

Faida za myvodacomapp

 • Kutumia bila bando
 • Kuangalia salio la vifurushi na salio la kawaida bure
 • Kununua vifurushi mbalimbali
 • Kujishindia ofa mbalimbali (Chagua ofa, chagua *TIKISA USHINDE*, huku unashinda simu, mda wa maongezi, vifurushi na pesa taslimu)

Jinsi Ya Kucheza Tikisa Ushinde

1.Pakua toleo jipya la *my Vodacom* kupitia link unayotumiwa na balozi wetu

2.Chagua Ofa kutoka upande wa kushoto chini wa screen yako, Kisha chagua *“Tikisa Ushinde”*

3.Bonyeza anza sasa ili ufurahie kuponi ya bure ya *“Tikisa Ushinde”*

4.Tikisa simu yako sasa upate nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali. Kila unapotikisa baada ya kuponi za bure kuisha utatozwa Tsh200/-

*NB* Ukijiunga tikisa kumbuka kujiondoa  baada ya kucheza  kwa kubofya *Jiondoe*  na kila unapotaka kucheza jiunge kwanza, weka salio la kawaida, cheza na ukimaliza  jiondoe. Unaweza kujiunga kucheza na kujiondoa mda wowote kwa kupitia Myvodacom App

Aplikesheni Mpesa App

Kwa sasa tunaendelea kuboresha mfumo wa balozi na utakapokuwa tayari itatoa maelekezo hapa

Wasiliana nasi 0745015421

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

1 Comment

 1. 25 June 2021
  BARAKA KUNDAEL AKYOO
  Reply

  Thanks indeed for being noted as one among of M- PESA app ambassador from Saint Augustine university of Tanzania, let’s stay connected

Leave a Reply to BARAKA KUNDAEL AKYOO Cancel reply

Related Posts

UNAANDAA TUKIO NA UNAHITAJI WASHIRIKI?

0 (0) Unaandaa warsha, semina, kongamano au tukio linalohusisha watu wenye umri kati ya miaka 18 hadi 40? Unipromo Tanzania ni Suluhisho, Tunawatumiaji wa mtandao wa Whatsapp Zaidi ya 31,000 toka mikoa yote Tanzania. Tunawatafuta, tunawasajili, tunawaweka pamoja msimu mzima wa tukio lako, taarifa muhimu za kila hatua zinawafikia kwa wakati, Unarekodiwa matukio yako mwanzo mpaka mwisho […]