Nawezaje kuwa wakala wa M-Pesa?

Huduma za kifedha kwa mitandao ya simu na mabank ni biashara inayokua kwa kasi kutokana na ukuaji wa teknolojia na imewasaidia na kuendelea kusaidia wafanyabiashara wa vipato vya chini mpaka kipato cha juu, kwani kinachoangaliwa zaidi thamani ya miamala inayozungushwa kwa mwezi mzima na kupata asilimia za faida kama ujira wa kazi uliyofanya. Unaweza kuwa na mtaji […]

M-KOBA, Vodacom

M-KOBA ni nini? M-KOBA ni huduma ya kifedha inayoendeshwa na Vodacom kwa ushirikiano na TPB Bank inayolenga kuwezesha wateja wa M-Pesa kufungua na kuendesha Akaunti za kuweka akiba kwa makundi huku wakifurahia huduma za kifedha. Bidhaa hii itazingatia kutoa mazingira mazuri kwa vikundi vya kuchanga fedha kama VICOBA, VSLA na vile vya kifamila na marafiki kufanya kazi[…..]