UNAANDAA TUKIO NA UNAHITAJI WASHIRIKI?

Unaandaa warsha, semina, kongamano au tukio linalohusisha watu wenye umri kati ya miaka 18 hadi 40? Unipromo Tanzania ni Suluhisho, Tunawatumiaji wa mtandao wa Whatsapp Zaidi ya 31,000 toka mikoa yote Tanzania. Tunawatafuta, tunawasajili, tunawaweka pamoja msimu mzima wa tukio lako, taarifa muhimu za kila hatua zinawafikia kwa wakati, Unarekodiwa matukio yako mwanzo mpaka mwisho wa tukio […]